Ni Baada Ya Miaka Ishirini Tu Mara Baada Ya Kutokea Ajari Ya MV Bukoba, Ilipotimia, Na Leo Ni Tetemeko La Ardhi, Swali Ni Je Kwa nini Bukoba????
Hizi Ni Baadhi Ya Picha Zinazoonesha Maafa Yaliyotokea
Mungu Awalaze Mahali Pema Peponi Wale wote Waliopoteza Maisha, Na Kuwapa Pole Wote Waliopoteza Ndugu Na Jamaa Zao. Amen
Posting Komentar