Hili Ni Eneo Liitwalo Kitendaguro Huko Bukoba
Hawa Ni Wanafunzi Wa Shule Ya Sekondari Ya Ihyungo secondary wakiwa Hospotali Teule Ya Mkoa Kagera ,Government
Hii Ni Barabara Ya Kuelekea Custome , kasarani
Huko Bukoba
Huko Bukoba
Hapo Ni Jamco Berber shop Huko Bukoba
Hapo Ni Ndani Ya Hospotali Teule Ya Mkoa Kagera ,Government Na Hao Ni Baadhi Ya Waathirika Wa Tetemeko Hilo
Hilo Ni Eneo Mojawapo Huko Wilayani MisenyiMkoa Kagera
Hapo Ni Kwenye Duka La Mtoka gas
Huko Bukoba
Huko Bukoba
Hilo Ni Eneo La Jamuhuri road Huko Bukoba
Pia Tetetmeko Hilo Limeathiri Maeneo Mengine hasa eneo la ukanda wa ziwa Tanzania na kutikisa katika miji mbalimbali ikiwemo Geita, Mwanza Kama Inavyoonesha Hapo Chini.
Posting Komentar